Friday, August 20, 2010
Wednesday, August 18, 2010
Tuesday, August 17, 2010
Toronto Fc yaifunga Cruz Azul
Timu ya soka ya Toronto ambayo inashiriki katika ligi ya Mls(Major League Soccer) leo imeingia kwa kishindo katika ligi ya mabingwa kwa upande wa America (Concacaf )baada ya kuifunga timu ya Cruz azul ya Mexico.
Ushindi umepatikana kwa mabao mawili yaliyofungwa na mshambuliaji Mista katika kipindi cha kwanza, Cruz Azul walipata bao la kufutia machozi katika kipindi cha pili.
Mpachika mabao wa leo-Mista.
Monday, August 16, 2010
Futari ya Pamoja
Tuesday, August 10, 2010
Ramadan 1431 / 2010 Announcement
|
Ramadan 2010 / 1431 is on Thursday 12th August, 2010
There have been no confirmed sightings of the new crescent in the parameters of the Hilal Committee, therefore Sha'ban will complete 30 days and Ramadan will start Thursday 12th August, 2010.
RAMADAN KAREEM TO ONE AND ALL.
First day of Fasting is on Thursday 12 August, 2010
|
Monday, July 26, 2010
Ratiba Ya Matukio-TCA
- Picnic: 17 July (Milne Park - 8251 McCowan Rd, Markham Ontario)
- Boat Cruise: Between 24 July and 1 August (during Caribana season)
- Mkutano Mkuu: 18 September
- Thankgiving: 9 October (Thanksgiving long weekend)
- Dinner and Dance: 6 November
- Family Fun Day: 31 December
Sunday, July 25, 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)














