
Mshindi wa Khanga Party 2007, Dada Amina Shoo akicheza kinyaunyau

Sacky akiwa na mkewe, Dada Dina

Dada Sania akitoa busara zake huku Ernest na Catherine wakiyarudi magoma

Joe akicheza kwa nafasi

Jamaa wakipooza makoo yao kwa nafasi

Ustaadhi Manambi akibandika na kubandua muziki moto moto

Wanajumuiya wakicheza kinyaunyau

Bwana Kelly (kushoto) akionyesha staili yake ya ndomboro

Mzee Masuka (katikati) akiwa na wageni wake

Sania (kushoto) akiwa na Juliet na Redempta (a.k.a Mama Ida)

Kijana wa ki-Sudan aki-pose na akina Holly

Ustaadhi Humba (aliyeshikwa mabega) naye alikuwepo

Uncle Tom, Redempta na Suzzy wakiyarudi magoma

Falcao akikata kiu