Sunday, February 17, 2008

Khanga Party 2007

Mshindi wa Khanga Party 2007, Dada Amina Shoo akicheza kinyaunyau
Sacky akiwa na mkewe, Dada Dina
Dada Sania akitoa busara zake huku Ernest na Catherine wakiyarudi magoma
Joe akicheza kwa nafasi
Jamaa wakipooza makoo yao kwa nafasi
Ustaadhi Manambi akibandika na kubandua muziki moto moto
Wanajumuiya wakicheza kinyaunyau
Bwana Kelly (kushoto) akionyesha staili yake ya ndomboro
Mzee Masuka (katikati) akiwa na wageni wake
Sania (kushoto) akiwa na Juliet na Redempta (a.k.a Mama Ida)
Kijana wa ki-Sudan aki-pose na akina Holly
Ustaadhi Humba (aliyeshikwa mabega) naye alikuwepo
Uncle Tom, Redempta na Suzzy wakiyarudi magoma
Falcao akikata kiu

3 comments:

Anonymous said...

Basi nyingine mwaka huu, au vipi wahusika?


M

tca said...

Nadhani huu ni wakati muafaka, hii kitu lazima ifanyike mwaka huu!

Anonymous said...

Mkifanya lkn watu wenyewe wawepo msifanye bail out mkawa hamji, shughuli ni watu na watu wenyewe ni sie.