Monday, July 26, 2010

Ratiba Ya Matukio-TCA

  1. Picnic: 17 July (Milne Park - 8251 McCowan Rd, Markham Ontario)
  2. Boat Cruise: Between 24 July and 1 August (during Caribana season)
  3. Mkutano Mkuu: 18 September
  4. Thankgiving: 9 October (Thanksgiving long weekend)
  5. Dinner and Dance: 6 November
  6. Family Fun Day: 31 December

9 comments:

Anonymous said...

Ooooo all those are parties?. ....kakake is there a pary for Thanksgiving?, Cuz im sooo innnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn

tca said...

There will be something happening for sure!

Anonymous said...

Nice one mkuu, hapo mambo safi now we now what is happening, where and when. Ukipata more current info (kama location, exact date nk)naomba uwe unaiupdate hiyo list. Naomba usichoke na request wengine ni wapya mji huu ndio maana maswali/request nying. Swali lingine la kizushi, chakula huwa hala kwenye shughuli zenu TCA?

tca said...

Hamna wasi nitashughulikia, chakula huwa ni bure!

Anonymous said...

NIajiri ntakuwa mpishi weeeenu TCA.U guys are doing a wonderful job with the events. Keep it coming and make us happy.

Anonymous said...

jamani uwe una update mara kwa mara once a month inaboa kwa kweli, hata kama kuna nyama choma mahala flani weka tuu

tca said...

Nitaongeza bidii, maana katika ya wiki inakuwa ngumu kidogo.Ukiwa na tukio basi usisite kunijulisha.Nashukuru kuwa kuna watu wanachungulia humu kila wanapopata nafasi,Usiboreke mwayego!

Anonymous said...

Mkuu mimi sio mwanachama lakini ningependa kuja kwenye mkutano wenu mkuu, je itawezekana. Utafanyika wapi mkutano huu hiyo Sep 18? Kama inabidi uwe mwanachama kwanza ili kuhudhuria basi usijali.

tca said...

Ndugu, kumekuwa na mabadiliko ya mahala na tarehe ya mkutano ambayo yatangazwa baadaye. Kuhusu kuhudhuria mkutano, kwa katiba ya TCA utahitajila kulipia ada ya uanachama kabla ya kuhudhuria au kupiga kura kuchagua viongozi wapya.