Monday, August 23, 2010

Sherehe ya kuzaliwa mzee Omari.

Mzee Omari akikata keki na wajukuu zake kutoka katika jumuiya ya watanzania Kwa niaba ya wanajumuiya tunamtakia Mzee Omari afya njema na kila la kheri!

1 comment:

Anonymous said...

Kila la kheri kwa mzee Omari, thanks for the pic bro!